Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA-, Ataba tukufu ya Abbasiyya (uongozi wa Kaburi / Haram ya Abul-Fadhli al-Abbas (A.S) imeondoa bendera na mabango meusi kutoka kwenye minara, korido za uwanja mtukufu, kwenye kaburi / haram tukufu, na kuta za nje, baada ya kipindi cha miezi miwili ya huzuni, ikiwa ni ishara ya kuwadia kwa Mwezi Mtukufu wa Rabi' al-Awwal.
25 Agosti 2025 - 16:35
News ID: 1720287
Your Comment